Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
hata hivyo ni mdogo sana, na sidhani kama aliwahi kumuuma mtu yoyote huyo nyoka 🐒Huyu nyoka anaweza kwenda mbele na kwenda poa nyuma pia Tena anaweza kukuuma kutumia mbele na nyumaView attachment 3162021
Mbona kama Hana kichwa
Huyo mnyoo ni nyoka?Huyu nyoka anaweza kwenda mbele na kwenda poa nyuma pia Tena anaweza kukuuma kutumia mbele na nyumaView attachment 3162021
Ukitaka kumwona mwenye kichwa kisicho na meno njoo umwone na kumshika shika, naona hupendi wasio na vichwa.Mbona kama Hana kichwa
Naona ulanzi uliokunywa jana bado unatekenya viungo vyakoUkitaka kumwona mwenye kichwa kisicho na meno njoo umwone na kumshika shika, naona hupendi wasio na vichwa.
Why?Naona ulanzi uliokunywa jana bado unatekenya viungo vyako
Yeah! That's how it is.Kwa tafsiri nyengine ni kwamba anaweza kucheza michezo yote miwili ama nitakuwa nimeenda mbali sana..?!