Huyu nyoka anaweza kwenda mbele na nyuma na anaweza kukuuma kutumia mbele na nyuma

Huyu nyoka anaweza kwenda mbele na nyuma na anaweza kukuuma kutumia mbele na nyuma

Mnyoo wa ardhini, hakuna nyoka hapo.
Huyo mnyoo anafanana na nyoka 'ndumila kuwili' ambaye hana sumu.
 
Utafiti unaonyesha kuwa huyo kiumbe ukimuona tu licha ya kuwa na sumu kali,ni mkosi utaandamwa na matatizo lukuki kuanzia nyumbani hadi kazini
 
Huyu nyoka hana vichwa viwili na wala hana sumu kabisa, kumuua ni kama umemuonea tu
Ana kichwa kimoja tu na umbo la nyuma NJ shape ya kichwa ili kujihami kwa viumbe wengine wakidhani anawaona

Wahindi wanatumia kama kuleta Baraka kwenye nyumba hata Bangladesh pia ingawa sio kweli
Serikali zao zimeamua kuwalinda na kutoa hukumu kubwa kwa atakaekamatwa nao
Wanauzwa kwa bei kubwa kimagendo huko

Ona sasa umepoteza hela bure kwa woga wako
Siku nyingine wafuge
 
Back
Top Bottom