Huyu nyuki bado sijamuelewa

Huyu nyuki bado sijamuelewa

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vipi

Jana majira ya mbili usiku, nikiwa ofisini kwangu,ghafla nyuki akaning'ata katika mkona wangu wakushoto juu ya kiwiko binafsi siku muona kabisa ila nilihisi maumivu tu.

Cha ajabu leo nasikia harufu ya nyuki mwilini.

Binafsi nahisi sio nyuki wa kawaida -- usiku nyuki atoke wapi?

Embu kwa wataalam naombeni ushauri juu ya hili.
 
Benki wanafannya sana Marathoni isijekuwa wana mpango wa kukimbia na pesa zetu
 
unakaribia kutapika asali[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using motorola 78
 
Nyuki wanaongeza kiasi cha asali mwilini mawa wakung'atapoo.... you become more sweet than before
 
Sumu ya nyuki inasaidia skin care na immune system
 
Hapo vip!!

Jana majira ya mbili usiku, nikiwa ofisini kwangu,ghafla nyuki akaning'ata katika mkona wangu wakushoto juu ya kiwiko...binafsi siku muona kabisa ila nilihisi maumivu tu...
Kwani we usku ulitoka wapi,?
 
Back
Top Bottom