Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Spiderman au beeman😅😅😅😅Soon unakuwa SPIDER MAN
leo nimekupa like mkuu!Sasa hivi utageuka asali...
Kwani we usku ulitoka wapi,?Hapo vip!!
Jana majira ya mbili usiku, nikiwa ofisini kwangu,ghafla nyuki akaning'ata katika mkona wangu wakushoto juu ya kiwiko...binafsi siku muona kabisa ila nilihisi maumivu tu...
Soon unakuwa SPIDER MAN