Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulisha wahi kua katika hali ya kutaka ufarahishe kila mtu, na wakati huo huo useme ukweli?......utakuja kumuelewa akipata uteuzi.Binafsi huwa naona bora uwe na Kina Erythrocytes,faiza foxy na kina luca Mwashambwa wengi kuliko kuwa na mtu ambae haieleweki anasimamia kipi .
Je wengine huwa mna muelewa ?
😆😆😆SawaUlisha wahi kua katika hali ya kutaka ufarahishe kila mtu, na wakati huo huo useme ukweli?......utakuja kumuelewa akipata uteuzi.
Daaa huwa simuelewi kabisaAkiandika kitu anakaa katikati, haijulikani ni moto au ni baridi. Yuko neutral muda wote, yaani mara mia niwe na akina Mwashambwa na yule mwenzake sijui anaitwa Tantalila wanajulikana ni machawa wa David Kafulila nijue moja.
Pascal anaandika maelezo marefu na hana msimamo, ana mgogoro wa kimaandishi. Ni heri nisome mada zake kipindi akiwa Paskali. Na anajua sio kwamba ni mjinga, na najua inamuuma ila hana namna kuna kitu anatafuta.
Halafu bahati mbaya hakiji na hakati tamaaAkiandika kitu anakaa katikati, haijulikani ni moto au ni baridi. Yuko neutral muda wote, yaani mara mia niwe na akina Mwashambwa na yule mwenzake sijui anaitwa Tantalila wanajulikana ni machawa wa David Kafulila nijue moja.
Pascal anaandika maelezo marefu na hana msimamo, ana mgogoro wa kimaandishi. Ni heri nisome mada zake kipindi akiwa Paskali. Na anajua sio kwamba ni mjinga, na najua inamuuma ila hana namna kuna kitu anatafuta.
Zamani shulen tulisoma Hadithi ya mpapai na matete itafute inafundisha kitu.Binafsi huwa naona bora uwe na Kina Erythrocytes,faiza foxy na kina luca Mwashambwa wengi kuliko kuwa na mtu ambae haieleweki anasimamia kipi .
Je wengine huwa mna muelewa ?
Naam, umeniita?Binafsi huwa naona bora uwe na Kina Erythrocytes, Faiza foxy na kina Lucas Mwashambwa wengi kuliko kuwa na mtu ambae haieleweki anasimamia kipi.
Je, wengine huwa mnamuelewa?
Haka kajamaa kana mkwara mzito utazan mwana harakati flan hv .we umemuelewa huyu maisha ni kupanda ila nashangaa yameshuka
View attachment 3048453
Huyo ni mchumia TUMBO, Huwa na Maandiko mengi ya KIJINGA,Huwa anaponda CHADEMA hada mbowe, anaponda kwa mbaali na kpulizia CCM, analenga zaidi UTEUZI, haaminiki sana kwenye Maandiko na misimamoBinafsi huwa naona bora uwe na Kina Erythrocytes, Faiza foxy na kina Lucas Mwashambwa wengi kuliko kuwa na mtu ambae haieleweki anasimamia kipi.
Je, wengine huwa mnamuelewa?
Amekutaja tu!! tuliza mpiraNaam, umeniita?
Tatizo nini?
Hivi wakati anapanda huo mnara majuzi hakufikiria kuwa ni lazima atashuka ili aendelee na na ratiba zake? 🤔we umemuelewa huyu maisha ni kupanda ila nashangaa yameshuka
View attachment 3048453