uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Binafsi huwa naona bora uwe na Kina Erythrocytes, Faiza foxy na kina Lucas Mwashambwa wengi kuliko kuwa na mtu ambae haieleweki anasimamia kipi.
Je, wengine huwa mnamuelewa?
Magufuli ndo alimuelezea vyema, ni mtu njaa