Huyu Pascal Mayalla huwa mnamuelewa?

Huyu Pascal Mayalla huwa mnamuelewa?

Binafsi huwa naona bora uwe na Kina Erythrocytes, Faiza foxy na kina Lucas Mwashambwa wengi kuliko kuwa na mtu ambae haieleweki anasimamia kipi.

Je, wengine huwa mnamuelewa?
Yule ni mwandishi mwandamizi sio hao unaowataja hata hawajulikani mitaani na majina yao bandia, story huwa zinakuwa balanced ili kutokutoa hukumu

USSR
 
Amechagua tutoeleweka ndo maana humuelewei kama angetaka umuelewe basi ungemwelewa tu kwahiyo achana na mada zake soma vitu vingine
 
Mi huwa siewaelewi watu wanaokerwa na lifestyle ya watu wengine.
Kwakifupi wewe ndo sikuelewi
 
Back
Top Bottom