Sauti haisikiki vizuri mkuu
Muangalia vzurPrice tag ya £72 million? Wana Arsenal tumeliwa au tumpe muda kijana wetu?View attachment 1220960
Nikimuangalia vzur namuona Gervihno ndani yake,,,wamefanana kuanzia suraPrice tag ya £72 million? Wana Arsenal tumeliwa au tumpe muda kijana wetu?View attachment 1220960
Thamani ya pepe ndo shidaAcheni ujinga kwa MTU anayeanza ligi,msimu wa kwanza anakalisha mwenyeji ,alafu unataka ujadili nini? Ni suala LA muda tuView attachment 1221299View attachment 1221300View attachment 1221301