Huyu Pepe tumjadili au tumpe muda kwanza?

Huyu Pepe tumjadili au tumpe muda kwanza?

Pepe alikuwa target ya Klopp ila Arsenal wakavamia sasa uwezo wa kutoa potential ya mchezaj hadi ishine hawana ndomana wanaangika, sasa muuzen mpeni klopp muone maajabu yake ndani ya 3 months huyu atabeba kiatu Epl mpaka Ballon ataingia tu.
 
Pepe angepata kocha mzuri, mbona angekuwa hatari.. Yaani Pepe na Pierre-Emerick Aubameyang angewapata Klopp, wangekuwa hatari.. Nadhan hata kwa ule mfumo wa Wenger, hawa mbona wangekuwa hatari pia..
 
Hatimae Pepe amefunga goli mbili jana ni baada ya kukutana na timu ya Mwadui Fc ya Ulaya
 
Back
Top Bottom