Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
Nilipna comedy flani ya kenya km sio citizen basi ktn eti trafic wa kike msupuu yaani bomba kinoma basi madereva wote wanajikamatisha kwa huyo traffic, wakiachiwa wanataja na makosa makubwa eti, jana mimi nagonga mutu nairobi kamata mimi hahaaa wanaume tina kazi