britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Yaan atachanganyikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
!
!
Unataka achanyikiwe mara nfgapi?
Ni sifa tu hakuna lingine lolote..wakenya usomi wanaupima kwa kuongea kiingereza chenye misamiati migumuNimejaribu kugoogle Lkn naletewa error, huyu mzee anapata wapi slang hizo, na kwa nini asitumie maneno yanayofahamika katika lugha ya kingereza?
Jamaa ana kingereza kizuri sana, yaani ni chepesi hata tuliomaliza form four tunakielewa. ila hiyo picha uliuopost sidhani kama inamuhusu yeye
Hahaaaa..mkuu hiki kingereza kinapatikana kwe' kamusi?Yaan atachanganyikiwa
View attachment 1233749