Huyu Prof: Plo Lumumba atachanganyikiwa aisee

Huyu Prof: Plo Lumumba atachanganyikiwa aisee

Jamaa ana kingereza kizuri sana, yaani ni chepesi hata tuliomaliza form four tunakielewa. ila hiyo picha uliuopost sidhani kama inamuhusu yeye
Akiamua ndo anaonge kingereza cha kueleweka. Vinginevyo utachoka haraka kumsikiliza.
 
Huyo prof anatoaga speech zenye maneno magumu sana, sijui anaona raha gani kusumbua wengine jinsi ya kumuelewa anachosema.
 
Huyu tangu akurupuke na ile kauli yake ya "Magufulization" namuona zuzu tu mwenye digree zake!!😂😂😂
 
Meambulia machache

Epitome ==a person or thing that is a perfect example of a particular quality or type.
Vivacious == attractively energetic and enthusiastic
Nonchalant == feeling or appearing casually calm and relaxed; not displaying anxiety, interest, or enthusiasm.
Congruen-cy ==being suitable and appropriate
 
Hiyo account sio ya prof Lumumba. Ni ya watu wengine ambao wanatumia kama fun tu na mengi si maneno ya kiingereza
Mkuu umeshindwa hata kukiona ki blue tick cha verified user?..hiyo ni akaunt yake na mimi nilimfollow twitter kwa akaunt hiyo na leo nimemu unfollow
 
Back
Top Bottom