Huyu Prof: Plo Lumumba atachanganyikiwa aisee

Matumizi mabaya ya" misamiati ", hata hivyo hiyo massage imechongwa si ya kwake.
 
Jamaa ana kingereza kizuri sana, yaani ni chepesi hata tuliomaliza form four tunakielewa. ila hiyo picha uliuopost sidhani kama inamuhusu yeye
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Jamaa ana kingereza kizuri sana, yaani ni chepesi hata tuliomaliza form four tunakielewa. ila hiyo picha uliuopost sidhani kama inamuhusu yeye
 
Hiyo account sio ya prof Lumumba. Ni ya watu wengine ambao wanatumia kama fun tu na mengi si maneno ya kiingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…