lala bila nguo uone atasemaje...
Wakuu nimekutana na binti kutoka huko pande za obama anavolunter hapa Tz,tukawa marafiki kwelikweli na tumefanya mambo mengi sana , ila nimekuwa nikimwomba "mzigo"amekataa kabisa ananiambia analike personality yangu ila anasema tukisex urafiki uliopo utakufa,ila huko walikomkodishia nyumba ni kama hakai coz amekuwa akikaa na kulala kwangu almost karibu kila siku,mm naona kama ananizingua nataka nimwambie awe anakaa huko kwake ,huwa sina utaratibu wa kukaa na mtoto wa kike halafu hatu 'do'.
Aiseeee, ambake raia wa kigeni?????????????
Mbake kama tamaa zimekuzidi.
Ha ha ha haaaah! Ushauri mwingine tunaopeana humu sio kabisa........!!
Hapo kwenye red huyo binti anatoka Kenya au Marekani? Obama ana pande zaidi ya moja.
Hapo kwenye red huyo binti anatoka Kenya au Marekani? Obama ana pande zaidi ya moja.
Usije ukajaribu kumshika kwa nguvu, na wala usifanye chochote against her will, itakula kwako tena vibaya sana. May be anasubiri the right time, the right moment...hawa wenzetu is all about the "perfect time", tengeneza mazingira...katazame nae sunset, jua nyimbo gani/zipi zinamuweka kwenye good mood, vile vile usipush....don't talk about it (sex) kabisa, kuwa mcheshi na playful, akikuangalia machoni mkonyeze. Sasa ukianza kuona anakuwa karibu sana ba wewe mara anakushika kiuno au kukupa back rub...jua njia ni NYEUPEEE!
If you want to have an established long term friendship that can be turned into marriage, uwe mpole. Kama unaona majaribu yamezidi mueleze kwa upole kuwa kwako inakuwa ngumu na muombe akae kwake ili usije haribu urafiki wenu.huwa tunalala same bed mkuu ila nikilianzisha anarukabed mkuu.