Huyu Puerto-Rico simwelewi..!

Huyu Puerto-Rico simwelewi..!

Kaka Siri moja tuu! Vuta demu mwingne wa kitasha kama yeye. Uone kazi,mwenyewe atakupa mzigo. hawezi kukubali kushindwa! usiogope.
 
Wakuu nimekutana na binti kutoka huko pande za obama anavolunter hapa Tz,tukawa marafiki kwelikweli na tumefanya mambo mengi sana , ila nimekuwa nikimwomba "mzigo"amekataa kabisa ananiambia analike personality yangu ila anasema tukisex urafiki uliopo utakufa,ila huko walikomkodishia nyumba ni kama hakai coz amekuwa akikaa na kulala kwangu almost karibu kila siku,mm naona kama ananizingua nataka nimwambie awe anakaa huko kwake ,huwa sina utaratibu wa kukaa na mtoto wa kike halafu hatu 'do'.

Mpe romance wewe acha ushamba. Ku-do hakuja just like, ni matokeo ya kazi na namna ulivyo mjanja wa kujituma. Kumbuka love without madness is not love, chakalika mwanangu.... utajikuta kitu ndani wewe na yeye bila kutarajia
 
hapo ndo penye raha....
pale mnapochanganya urafiki na mapenzi...
 
Mbake kama tamaa zimekuzidi.

Usifuate ushauri huu mkuu, bt kama unataka mvua kadhaa just try it, ikizingatiwa ni foreigner u'll get a harsher punishment, just komaa naye kwa convincing power, bt kama ni one nyt stand acha wazo hilo, dont ruin u'r friendship on a simple matter.
 
Hao ukitaka kula ngoma huombi kama kwetu. Unamwalika dina hata kama mnakaa pamoja. Akikubali tu ujuwe umekula ngoma. Dina Dinner sio chipsi kuku.
 
Hapo kwenye red huyo binti anatoka Kenya au Marekani? Obama ana pande zaidi ya moja.

Obama hana pande ya Kenya, it seems the mkubwa is matrilineal
 
Usije ukajaribu kumshika kwa nguvu, na wala usifanye chochote against her will, itakula kwako tena vibaya sana. May be anasubiri the right time, the right moment...hawa wenzetu is all about the "perfect time", tengeneza mazingira...katazame nae sunset, jua nyimbo gani/zipi zinamuweka kwenye good mood, vile vile usipush....don't talk about it (sex) kabisa, kuwa mcheshi na playful, akikuangalia machoni mkonyeze. Sasa ukianza kuona anakuwa karibu sana ba wewe mara anakushika kiuno au kukupa back rub...jua njia ni NYEUPEEE!
 
word,..!
 
..m puerto rico..!! Duh. Nenda chumvini.
 
Like

UZURI WA MSICHANA CHUCHU, UZURI WA MWANAMKE MAKALIO, UZURI WA MKE TABIA.
 
huwa tunalala same bed mkuu ila nikilianzisha anarukabed mkuu.
If you want to have an established long term friendship that can be turned into marriage, uwe mpole. Kama unaona majaribu yamezidi mueleze kwa upole kuwa kwako inakuwa ngumu na muombe akae kwake ili usije haribu urafiki wenu.
Mwisho; hivi ninyi vijana humwezi kuwa na urafiki na msichana hadi ufanye naye? Punguzeni papara na jizoezeni kujizuia.
 
fanya maamuzi magumu................antaka huyo ila anazuga tu!
 
Back
Top Bottom