Skillionare
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 1,190
- 526
Wakuu nimekutana na binti kutoka huko pande za obama anavolunter hapa Tz,tukawa marafiki kwelikweli na tumefanya mambo mengi sana , ila nimekuwa nikimwomba "mzigo"amekataa kabisa ananiambia analike personality yangu ila anasema tukisex urafiki uliopo utakufa,ila huko walikomkodishia nyumba ni kama hakai coz amekuwa akikaa na kulala kwangu almost karibu kila siku,mm naona kama ananizingua nataka nimwambie awe anakaa huko kwake ,huwa sina utaratibu wa kukaa na mtoto wa kike halafu hatu 'do'.