Huyu rafiki wa mpenzi wangu simuelewi mambo yake.

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Rafik wa mpenz wangu ananifanyia vituko wala simuelew manake anatuma msg za kmapenz na kuja gheto wakat mpenz wangu hayupo yaan rafk yake. Na akja akimkuta anakuwa hana raha kama awali hata story znapungua. Some time anapga sm usku anazungumza kmahaba. Nataka nimwambie rafk yake ajue manake ananikera. Naomba ushaur wakina (dada) na wakuu wa jf
 
Mbona ipo clear? We humpendi tuu huyo mpenzi wako! Mzaha wa namna hiyo utajikuta umelamba. . . . Kwanza kwanini umruhusu aje kwako kama humpendi? U r a man, be strong and decisive
 
Kama ni kweli,hiyo ipo na ni hali ya kawaida kwa mabinti(si wadada)...
Wakitongozwa wanaogopa,lakini wakiona mashosti wao wanapenda na kupendwa, (na hasa kupitia masimulizi ya hao mashosti wao),wanawatamani mashemeji zaona kuna ambao huchukua kabisa mashemeji zao!

Yaani yeye hajiamini kama anaweza kumpata BF proper..ila akisikia mwenzake anamsifia mtu,naye anamtaka huyohuyo!
 
Mi-thread mingine ovyooo!! unajuta hat a kwa nini uliifungua!!
 

Wacha sa! Si unafurahia lakini? Hivyo wewe mwenyewe unashindwaje kumwambia kuwa asikufatefate na badala yake unamkaribisha wakati rafiki yake hayupo, na kupokea simu za mahaba! Hivyo huwezi kukataa simu zake?
 
akija next time,mwambie huku ukimuangalia usoni kuwa hupendi aje rafiki yake akiwa hayupo....na hutaki tena night time calls ni usumbufu,be firm ukiwa unamwambia hayo atapata message.
 
Mwambie kama habari itafika ikulu kama hastop na usumbufu wake. Other than that kata mawasiliano, usipokee simu zake, kweni lazima?
 
wanawake watu wa ajabu sana, kuna dada niliwahi kumtokea akanitolea nje. Baada ya kuona nimempata mwingine akaanza kupeleka majungu kwa gf wangu ili niachane naye nilipomuuliza kwa nini unanifanyia hivyo? Akanambia, nilipokukatalia nilikuwa napima uvumilivu wako! Yaani anapima uvumilivu na kukutukana juu! Hawa viumbe waliumbwa kipekee kabisa.
 
Achana naye kabisa na mseme kwa mpenzi wako. Kuna kila dalili kuwa anataka kustill penzi la mwenzake. Cha msingi mwambie aache tabia hizo na atafute wakea yake.. Napata shaka sana laikini unaposema kwamba anakuchanganya wakati we waweza amua kusuka au kunyoa. Kama wampenda mwenzio utamsemea huyo shog
 
gheto kwako anafanya nini kama rafiki yake hayupo?haya matatizo umeyaleta mwenyewe cz of mazoea...mpige biti aache au kama umetamani mzigo we kamua tu
 
dogo wewe unatilisha aibu wachangamkie wote kwa zamu, wacha kuzubaa.
 
habari za mashost ni balaa wengi wanazungukana kuchukuliana mabwana. huyo rafiki wa mpez wako anaonyesha kavutiwa na wewe na ukilegeza kamba tu imekula kwako utajikuta unadate mtu na rafiki yake. kama unamdhamini mpenz wako weka mambo hadharani. usilee ugonjwa.na sie wadada tuache kutambulisha ovyo maboy wetu kwa mashost
 
Acha uwongo bwana. We tuambie kama umeshamlamba sasa unataka kumtosa. Hapo unaweka ushahidi kwa huyo girlfriend wako!. Hiyo ni treak tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…