Dadio
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 359
- 42
Rafik wa mpenz wangu ananifanyia vituko wala simuelew manake anatuma msg za kmapenz na kuja gheto wakat mpenz wangu hayupo yaan rafk yake. Na akja akimkuta anakuwa hana raha kama awali hata story znapungua. Some time anapga sm usku anazungumza kmahaba. Nataka nimwambie rafk yake ajue manake ananikera. Naomba ushaur wakina (dada) na wakuu wa jf