Huyu rafiki wa mpenzi wangu simuelewi mambo yake.

Huyu rafiki wa mpenzi wangu simuelewi mambo yake.

Plz, kabla hujachukua maamuzi magumu ya kumtell mpenzio hebu nitumie hiyo namba yake ya simu ambayo anaitumia kukupigia ili kwanza nimrekebishe nikishindwa kumrekebisha basi nitakupa feedbak ili ukitoka ukamsemee kwa huyo manzi ako!
 
We unampenda itakuwa,usiku unapokea simu zake,kwako anafikaje kama ujamkaribisha mwenyewe we sema ukwel bana
 
we nae unampendeamo! mbona rahis kuamua. mpige bit kuwa hutaki mazoea na akiendelea utamwambia rafik ake.
 
Back
Top Bottom