Tuunde tume ya kumrejesha jukwaaniHuyu Bibi sijui ni kwa nini! Ila wengi tunahisi kwa sasa atakuwa ana cheo kikubwa sana huko nchini Puerto Rico!
Baadhi tumefikia hatua ya kuhisi eti ndiye Chifu Mkuu wa huko! 🤔 Na ndiyo maana amekuwa adimu sana humu jukwaani kwa sasa.
Tuunde tume ya kumrejesha jukwaani
Kwahiyo alikuwa anajiunga mkono mwenyewe, yani anayaanzisha huko juu alafu anakimbilia JF kuona kama Watz tunamuelewa au la!Alikuwa ameshika bango la kuunga mkono majuzi hapa kwenye Uzi wa Chifu Hangaya kutaka Bandari yetu kuu ya Dar es salaam kutafutiwa mbia!
Labda yupo na big show huko mji mtakatifu wa Macca!
Mna mmiss basiTungemtafuta kama hakubaliki!!!? Au ulitaka tuseme tunammiss Musiba?
[emoji2][emoji2][emoji2]She is missed for sure
Nenda kwenye uzi wa (ujio wa masihi dajjar)
shika adabu yako mbuzi ww???
Jifunze jinsi ya kutumia hizi [emoji117] ( ? ) kwanza au shuleni ulienda kusomea ujingashika adabu yako mbuzi ww???