Huyu Rafiki Yuko Wapi

Huyu Rafiki Yuko Wapi

Huyu Bibi sijui ni kwa nini! Ila wengi tunahisi kwa sasa atakuwa ana cheo kikubwa sana huko nchini Puerto Rico!

Baadhi tumefikia hatua ya kuhisi eti ndiye Chifu Mkuu wa huko! 🤔 Na ndiyo maana amekuwa adimu sana humu jukwaani kwa sasa.
Tuunde tume ya kumrejesha jukwaani
 
Tuunde tume ya kumrejesha jukwaani

😁😁 Haitawezekana! Maana majukumu yamemzidia bila shaka. Kuongoza nchi kama Puerto Rico siyo mchezo!
Maana wananchi wake wana stress sana!

Muda wote ni kulalamika tu! 😁😁 Akisafiri sana kwenda nje, wanalalamika! Akibaki ndani ya nchi, wanalalamika! Akiwachekea, 😬😬 wanalalamika! Akinuna, 😫 wanalalamika!

Yaani shida tupu.
 
Uwa namkubali sana huyu mwanamama. Yupo namuona ona kwenye comments.
 
Alikuwa ameshika bango la kuunga mkono majuzi hapa kwenye Uzi wa Chifu Hangaya kutaka Bandari yetu kuu ya Dar es salaam kutafutiwa mbia!
Labda yupo na big show huko mji mtakatifu wa Macca!
Kwahiyo alikuwa anajiunga mkono mwenyewe, yani anayaanzisha huko juu alafu anakimbilia JF kuona kama Watz tunamuelewa au la!
 
Yupo kajaa tele, anaendelea kushusha nondo
Naona humu bila kumzingua FaizaFoxy hamuoni raha, inaonesha ni jinsi gani
Mnavyomkubali sema hamtaki kusema
Kimoyo moyo mnamkubali

Ova
 
Naona humu bila kumzingua @FaizaFoxy hamuoni raha, inaonesha ni jinsi gani
Mnavyomkubali sema hamtaki kusema
Kimoyo moyo mnamkubali
Tungemtafuta kama hakubaliki!!!? Au ulitaka tuseme tunammiss Musiba?
 
Kibibi Faiza Fixx, nae anapambana kitetea Dini ya Haki ili akapate na yeye Madume bikra 72 pale jannah[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom