Monica Mgeni
Member
- Oct 7, 2021
- 82
- 134
mafuta,sukari,sabuni,vifaa vya ujenzi vilivyo juu vilisababishwa na tangazo LA kupandisha mishahara??...akili ya kitoto sana hii
Wapo kwenye mwaka wa uchaguzi.... kule Kenya wafanyakazi wote wamepandishiwa 12% with effect from May 01st fedha za Kenya kumbuka. Hakuna cha kwenda kupiga mahesabu; hilo lilitakiwa kufanyika kabla Rais hajapanda jukwaani.
mwaka 2020 tulikuwa na uchaguzi hawakuongezewa,mwaka 2019 kulikuwa na uchaguzi hakuongeza,mwaka 2015 Joni alisema ngoja niondoe wafanyakazi feki hakuongeza.Wapo kwenye mwaka wa uchaguzi.
Punguani wengi sana
Akili kubwa wapi?
Sijui walikuwapi kupiga hesabu toka mwaka jana... kule Kenya wafanyakazi wote wamepandishiwa 12% with effect from May 01st fedha za Kenya kumbuka. Hakuna cha kwenda kupiga mahesabu; hilo lilitakiwa kufanyika kabla Rais hajapanda jukwaani.
Kila May Day nchini Kenya mishahara huwa lazima iongezwe, kwa asilimia flani. Rais huwa anatangaza tu, kwenye hafla ya siku ya wafanyakazi duniani. Ndio iwe rasmi kwamba nyongeza imekubaliwa. Jukumu la kutoa mapendekezo na asilimia ya nyongeza kwa wafanyakazi. Kwenye sekta tofauti huwa lipo kwa taasisi huru la kiserikali, linalosimamia suala hilo. Almaarufu kama SRC(Salaries & Renumaration Commission), sio rais wala ofisi ya rais.Wapo kwenye mwaka wa uchaguzi.
Mkuu usitudannganye hakuna nchi yenye uwezo wa kuongeza mishahara kila may day.Kila May Day nchini Kenya mishahara huwa lazima iongezwe, kwa asilimia flani. Rais huwa anatangaza tu, kwenye hafla ya siku ya wafanyakazi duniani. Ndio iwe rasmi kwamba nyongeza imekubaliwa. Jukumu la kutoa mapendekezo na asilimia ya nyongeza kwa wafanyakazi. Kwenye sekta tofauti huwa lipo kwa taasisi huru la kiserikali, linalosimamia suala hilo. Almaarufu kama SRC(Salaries & Renumaration Commission), sio rais wala ofisi ya rais.
Rais huwa anatia tu saini mapendekezo hayo, ambayo ni haki ya kila mkenya kikatiba, sio kama 'favour' tu kutoka kwa mzee.
Rejelea kwenye hafla za May Day zingine nchini Kenya, uone kama rais huwa hatangazi nyongeza za mishahara. Hata kama sio kwa wafanyakazi wote, au kwenye sekta zote, wanaolipwa mishahara ya kima cha chini kabisa(minimum wage) huwa wanapata nyongeza kila mara.Mkuu usitudannganye hakuna nchi yenye uwezo wa kuongeza mishahara kila may day.
Hakuna cha kwenda kupiga mahesabu; hilo lilitakiwa kufanyika kabla Rais hajapanda jukwaani.
Ha HahaMungu wa mbingu na nchi akupe neema ya msamaha maana hujui utendalo