Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 4,672
- 9,806
Sio kimo ni KIMA cha chini.mishahara ya kimo cha chini
Hata hivyo hongera kwa kiswahili kizuri ukilinganisha na nyang'au wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kimo ni KIMA cha chini.mishahara ya kimo cha chini
Typo tu za kawaida jombaa, nilirekebisha baadaye kidogo. Shukran lakini kwa sahihisho lako. Hii lugha haijui mipaka bwamkubwa. Wenyeji wa kule Lamu na Kiwayuu, wa-amu, wakisikia ukizungumza hicho unachojua wewe kwamba ndio lugha fasaha, utasikia wakisema kwamba unawaharibia lugha yao.Sio kimo ni KIMA cha chini.
Hata hivyo hongera kwa kiswahili kizuri ukilinganisha na nyang'au wengine.