Yani haii Nchi wote tulisha Fanya mazezeta,kisha yule Majaliwa alisema kuwa akitangaza mishahara vitu vinapanda bei.basi kila MTU hiyo ndio sababu.
Sababu za kipumbavu kabisa.
Typo tu za kawaida jombaa, nilirekebisha baadaye kidogo. Shukran lakini kwa sahihisho lako. Hii lugha haijui mipaka bwamkubwa. Wenyeji wa kule Lamu na Kiwayuu, wa-amu, wakisikia ukizungumza hicho unachojua wewe kwamba ndio lugha fasaha, utasikia wakisema kwamba unawaharibia lugha yao.