Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Hawa vijana wasanii ndio huku walikofikia mpaka kusuka yeboyebo za wanawake, hawa sio ddio wanaojiita vioo vya jamii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mind you biz lady...!Hawa Vijana Wasanii Ndio Huku Walikofikia Mpaka Kusuka Yeboyebo za Wanawake, Hawa Sio Ndio Wanaojiita Vioo Vya Jamii??View attachment 1734840
Katia mtindo[emoji23]
Hilo ndo jibu we Bata unauliza nini sasa! Ndo kafika huko..🤣Hawa Vijana Wasanii Ndio Huku Walikofikia Mpaka Kusuka Yeboyebo za Wanawake, Hawa Sio Ndio Wanaojiita Vioo Vya Jamii??View attachment 1734840
Kichwani saivi umesuka yeboyebo, kilimanjaro au umeweka peruvian hair?Katia mtindo[emoji23]
Na akioga haoshi kichwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimesuka twende kilioni[emoji23]Kichwani saivi umesuka yeboyebo,kilimanjaro au umeweka peruvian hair?
ji23][emoji23]anaweka na shower cap[emoji1787]
Hivi kwa nini uwaga mnazikuna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na akiwashwa nywele anajikuna kwa ka kidole kamoja kama mashauzi ya waimba taarabu
Akiwashwa kichwani anajipiga makonzi kama wanavyofanya maslay queen wakiwashwa na mawigi.Huwa najiuliza haya maumivu ya yebo yebo bado kuwashwa kakichwa na joto lote lile wanavumilia tu kisa usanii aiseee