Huyu RC Mdeme sidhani kama huwa anapika kwake.Ugali huwa haupikwi hivi.

Huyu RC Mdeme sidhani kama huwa anapika kwake.Ugali huwa haupikwi hivi.

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
1000006000.jpg
 
Anafanya warm-up muda wa uchaguz unakaribiaa

Kuna clip ya mtoto anasonga ugalii yaani dogo Yuko fit
 
Hii ni aina nyingine ya utapeli yaani kupika ugali anapiga picha kabisaaa!!!!
 
Halafu kuna sisi ambao hata kusonga kilo moja ya ugali hatuwezi!
Muacheni RC wa watu, huo ugali kuugeuza sio mchezo.
Inategemea: ugali wa muhogo ni mgumu sana kugeuza lakini ugali wa sembe ni rahisi sana, unageuza kwa mkono mmoja.
 
Sio kwamba siwezi kupika ugali, naweza na kujua sana.
Ila usizidi nusu kilo, siwezi na nitaumwa!
Ina maana huwezi kupika ugali wa mafundi ?.....njoo huku kwa wasukuma upate mafunzo
 
Back
Top Bottom