Huyu RC Mdeme sidhani kama huwa anapika kwake.Ugali huwa haupikwi hivi.

Huyu RC Mdeme sidhani kama huwa anapika kwake.Ugali huwa haupikwi hivi.

Ina maana huwezi kupika ugali wa mafundi ?.....njoo huku kwa wasukuma upate mafunzo
Mafunzo hayo yatanisaidia nini Mkuu?

Mi nyumbani kwangu napika mboga dada anasonga ugali, cha kufia nini?
 
Hutaki wageni ?...
Napenda sana, tena nawapikia vizuri wale wakifurahi ndio napenda hivyo.

Ugali wa wageni tutasaidiana, wakiwa wengi tunapika vyakula vingi kila kimoja wale kwa kiasi.
 
Back
Top Bottom