Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,020 Reaction score 79,098 Dec 16, 2023 #21 Proved said: Ina maana huwezi kupika ugali wa mafundi ?.....njoo huku kwa wasukuma upate mafunzo Click to expand... Mafunzo hayo yatanisaidia nini Mkuu? Mi nyumbani kwangu napika mboga dada anasonga ugali, cha kufia nini?
Proved said: Ina maana huwezi kupika ugali wa mafundi ?.....njoo huku kwa wasukuma upate mafunzo Click to expand... Mafunzo hayo yatanisaidia nini Mkuu? Mi nyumbani kwangu napika mboga dada anasonga ugali, cha kufia nini?
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Dec 16, 2023 #22 Nifah said: Mafunzo hayo yatanisaidia nini Mkuu? Mi nyumbani kwangu napika mboga dada anasonga ugali, cha kufia nini? Click to expand... Hutaki wageni ?...
Nifah said: Mafunzo hayo yatanisaidia nini Mkuu? Mi nyumbani kwangu napika mboga dada anasonga ugali, cha kufia nini? Click to expand... Hutaki wageni ?...
Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,020 Reaction score 79,098 Dec 16, 2023 #23 Proved said: Hutaki wageni ?... Click to expand... Napenda sana, tena nawapikia vizuri wale wakifurahi ndio napenda hivyo. Ugali wa wageni tutasaidiana, wakiwa wengi tunapika vyakula vingi kila kimoja wale kwa kiasi.
Proved said: Hutaki wageni ?... Click to expand... Napenda sana, tena nawapikia vizuri wale wakifurahi ndio napenda hivyo. Ugali wa wageni tutasaidiana, wakiwa wengi tunapika vyakula vingi kila kimoja wale kwa kiasi.
M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Dec 16, 2023 Thread starter #24 Nifah said: Mafunzo hayo yatanisaidia nini Mkuu? Mi nyumbani kwangu napika mboga dada anasonga ugali, cha kufia nini? Click to expand... Unaweza kuta hata chupi anakufulia
Nifah said: Mafunzo hayo yatanisaidia nini Mkuu? Mi nyumbani kwangu napika mboga dada anasonga ugali, cha kufia nini? Click to expand... Unaweza kuta hata chupi anakufulia
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Dec 17, 2023 #25 Duh aiseee
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Dec 17, 2023 #26 Duh aiseee
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Dec 17, 2023 #27 Hatari sana