Huyu refa alikuwa na haraka ya nini?

Kila Fountain Gate walipoangushwa refa alipeta, Simba walipewa faulo zote na kadi kama njugu kwa FG, Ateba alikanyaga mpinzani kwa nyuma ambae alikuwa anaenda kufunga refa hakutoa kadi, yaani mechi za simba zinatia kichefuchefu kuangalia, mechi zote zimenunuliwa,

bora Azam wasizioneshe mechi za simba ni aibu sana, mechi iliyofuata Azam vs KMC refa Mwinyimkuu kachezesha haki bin haki hadi unajiuliza simba huwa inawapa nini marefa hadi wanaharibu bila aibu, leo mechi imechezwa dkk 105 inachukiza sana. Hizi ni baraka za tiefuefu

Shame on you tz referees mnaoibeba mbeleko fc ndo maana mtachezesha matopeni daima CAF na World Cup mtaziangalia kwenye tv tu sababu Azam Tv inaonekana kila mahali duniani mnaonekana mjue!
 
Tangu nianze kufatilia soka sijaona kituko cha refa kuwa na haraka ya kutoa kadi mbili kwa pamoja kama huyu refa wa leo. Ni aibu kwa ligi ya 4 Afrika.

Hii haraka ya nini? Soka letu lina safari ndefu sanaView attachment 3227138
Refa mwenye haraka kaongeza dakika 9 na kuchezesha hadi dakika ya 13 ya nyongeza
 
Tangu nianze kufatilia soka sijaona kituko cha refa kuwa na haraka ya kutoa kadi mbili kwa pamoja kama huyu refa wa leo. Ni aibu kwa ligi ya 4 Afrika.

Hii haraka ya nini? Soka letu lina safari ndefu sanaView attachment 3227138
Unaweza ukakuta refa mwenyewe alikuwa anashangilia anachoenda kukifanya na asistukiwe ikabidi na mkono mwingine na wanyewe uwe na kadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…