Huyu refa alikuwa na haraka ya nini?

Huyu refa alikuwa na haraka ya nini?

Mchezaji unaamuliwa upige faulo.
Mchezaji unatoka nje ya uwanja na kuanza kujifuta jasho na taulo.
Wewe ungekuwa refa ungefanyeje?
 
Huyo kipa alikua anamtafuta lawama refa kitambo sana. Huwezi ukawa na kadi ya njano halafu unafanya mizaa kama ile.
 
Tangu nianze kufatilia soka sijaona kituko cha refa kuwa na haraka ya kutoa kadi mbili kwa pamoja kama huyu refa wa leo. Ni aibu kwa ligi ya 4 Afrika.

Hii haraka ya nini? Soka letu lina safari ndefu sanaView attachment 3227138
Leo kulikuwa na uchale mwingi sn, hata goli la kwanza ni uchale kuliko wa Chaplin.
 
Mchezaji unaamuliwa upige faulo.
Mchezaji unatoka nje ya uwanja na kuanza kujifuta jasho na taulo.
Wewe ungekuwa refa ungefanyeje?
Hawaelewi hawa mashaeiki maandazi kipa alizidisha maringo.Naukumbuka mchezo wa Al ahly Tripoli
 
Naweza kusema huyu kocha kachukua maamuzi sahihi ya kijasiri. Hivyo ndivyo kocha unapaswa kuchukua maamuzi. Ila Simba tutaonana msimu ujao maana ligi imeisha

Kocha tena...
 
Back
Top Bottom