Huyu Refa anayechezesha leo Simba vs Coastal nimempenda jinsi anavyofanya

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Ana wa frustrate sana Simba.... 😂😂😀😂 Anawanyima fouls na hata wakichezewa rough anawachunia. Yaani kifupi simba leo lazima wapigwe iwe iweje.

Na anawafundisha kuwa ngangali. Anawaumia meno kinyama. Coastal wapigeni hao mapaka.... Leo wakijitahidi ni draw.

Nimekaa hapa. Simba leo hashindi. Piga ua.
 
Hayo maigizo tuu, subiri kipindi Cha pili uone linatengenezwa tukio Moja mahususi na wote linatufumba macho Sasa kama gadiala ni kocha wa timu zote mbili zinazocheza na kihistoria ni timu A na B Kuna kitu hapo? Subiri uone
 
Ana wa frustrate sana Simba.... [emoji23][emoji23][emoji3][emoji23] Anawanyima fouls na hata wakichezewa rough anawachunia. Yaani kifupi simba leo lazima wapigwe iwe iweje.

Na anawafundisha kuwa ngangali. Anawaumia meno kinyama. Coastal wapigeni hao mapaka.... Leo wakijitahidi ni draw.
Maamuzi yapi aliyowakazia Simba wewe?? Refa Yuko fair Kwa Kila timu
 
Uyu refa aliwahi kutoa kituko Cha mwaka pale alipo wapa Simba penalty ya mchongo dhidi ya Yanga wakati Celvin Yondani alipo daiwa amemchezea rafu Kagere ndani ya box wakati faul ilikua nje ya box.
Hongera Kwa Mapinduzi balama na Mohamed Issa Banka walio tupa heshima Kwa kusawazaisha goli la mchongo.
 
Ana wa frustrate sana Simba.... [emoji23][emoji23][emoji3][emoji23] Anawanyima fouls na hata wakichezewa rough anawachunia. Yaani kifupi simba leo lazima wapigwe iwe iweje.

Na anawafundisha kuwa ngangali. Anawaumia meno kinyama. Coastal wapigeni hao mapaka.... Leo wakijitahidi ni draw.

Nimekaa hapa. Simba leo hashindi. Piga ua.
Sawa nguruwe pori.
 
Huu ndo ushabiki wa kitanzania mnaojivunia? Ama kweli soka lenu kivyenugyenu. Mwamuzi anaboronga lakini anatetewa na mashabiki wa upande wa pili!
 
Back
Top Bottom