Huyu Refa anayechezesha leo Simba vs Coastal nimempenda jinsi anavyofanya

Huyu Refa anayechezesha leo Simba vs Coastal nimempenda jinsi anavyofanya

Ana wa frustrate sana Simba.... 😂😂😀😂 Anawanyima fouls na hata wakichezewa rough anawachunia. Yaani kifupi simba leo lazima wapigwe iwe iweje.

Na anawafundisha kuwa ngangali. Anawaumia meno kinyama. Coastal wapigeni hao mapaka.... Leo wakijitahidi ni draw.

Nimekaa hapa. Simba leo hashindi. Piga ua.
Uko wapi ndugu yangu tunatoka mkwakwani muda huu mpira ndio umeisha hapa bao ni zile zile 3 kama uamini uliza wanandoa
 
Back
Top Bottom