Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ok tumekuelewa, Dar unamaanisha DaredaRosa-ree ni sawa na wanaume wote wa Dar uwachanganye kwa pamoja![emoji53][emoji53][emoji53]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok tumekuelewa, Dar unamaanisha DaredaRosa-ree ni sawa na wanaume wote wa Dar uwachanganye kwa pamoja![emoji53][emoji53][emoji53]
One time for the......One of my Tz female emcees ambaye huwa sichoki kuisikiliza rap yake. Napenda flow yake kwenye ku-rap.
Kuhusu huu muonekano wake, nadhani she's tryin to come out unique. Ndo PERSONALITY aliyochagua kuwa nayo kwenye sanaa yake. Good thing ni kwamba we can not say amechange, la hasha! Ni personality aliyoanza nayo from the start.
-Kaveli-
Nilisikia anasema amemnunulia na nyumba ya 400millionMme Wa Mtu Huyo
Hahahahaaa bora wazee tuendelee kula bazuku bakuluti letu na kina njenje na kina mzee viking hizi za roza ree zinachanganya ladhaMbona yupo vizuri tu tatizo wazee mnajifanya mnaweza kufuatilia hadi kina Rosa lee
True trueOne of my Tz female emcees ambaye huwa sichoki kuisikiliza rap yake. Napenda flow yake kwenye ku-rap.
Kuhusu huu muonekano wake, nadhani she's tryin to come out unique. Ndo PERSONALITY aliyochagua kuwa nayo kwenye sanaa yake. Good thing ni kwamba we can not say amechange, la hasha! Ni personality aliyoanza nayo from the start.
-Kaveli-
Huyu binti ni mrembo sanaHv huu ndio usanii au mi ndo nimepitwa na wakati?
Huyu dada angu Manka nashindwa elewa mapozi ya picha zakee.
Dah!!!
View attachment 794234View attachment 794237
[emoji16] [emoji16]Hizi lipstick sijui wanatoaga wapi, yaan mdomo umekuwa kama wa kunguru
Ila napendaga anavyochana ila kwenye makeup sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Noma sanamm aliposhiriki kwny ile ngoma ya "acha ungese" ndo nikajua kua fyuzi zaje haziko sawa!