Yap ckupingi kwa hilo broo, ushabiki tuweke pembeni huyu bwana ana kitu cha ziada aseeLiver wachukue kombe au wasichukue msimu huu huyu jamaa kaonyesha kiwango cha hali ya juu sana. Anastahil i Ballon d'or.
Vigezo wanavyozingatia pia ni kuisaidia timu yako kupata mafanikio, labda tumuombee wapate ndoomkuu si ni tuzo ya mchezaji bora? unaweza kuwa mchezaji bora na makombe ukakosa.
Hahah!! Mkuu unakosea kusema hivyo huwa wanaangalia timu yako umeisaidia vipi kupata mafanikio na mafanikio yenyewe ndio makombe, ingekua kama hivyo unavyosema wewe Mess angekua anachukua kila mwakahili haliangaliwi. wanaangalia performance na tabia nje na ndani ya uwanja.
Vigezo official ndiyo hivyo mkuu.Kusaidia timu hakipo. Sema kwasababu ni upigaji wa kura ndiyo maana haya mambo hutokea.Hahah!! Mkuu unakosea kusema hivyo huwa wanaangalia timu yako umeisaidia vipi kupata mafanikio na mafanikio yenyewe ndio makombe, ingekua kama hivyo unavyosema wewe Mess angekua anachukua kila mwaka
2014 aliechukua ballon d or alikua kabeba kombe gani?Duh! Balon bila kombe mzee?
UEFA, Copa del rey na UEFA Super Cup2014 aliechukua ballon d or alikua kabeba kombe gani?
Mbona messi 2010 alitoka kapa bila kombe ila alipewa ballon d'or?? Semeni tu kwamba wanapendelea hao wawili ila makombe haijawahi kuwa kigezo kwa ronaldo au messi kupewa ballon d'orVigezo wanavyozingatia pia ni kuisaidia timu yako kupata mafanikio, labda tumuombee wapate ndoo
2010 je??UEFA, Copa de lay na UEFA Super Cup