Gef
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 500
- 433
we jama unachekesha nn asa atachukuaje ballon d or kama hajaxhukua ubingwa wwte?? nimechek kwa saut sana mm salah namkubal sana kama mwafrika mwenzang ingawa ana ngoz nyeupe sio mbaya ki mfano anakujaje apa kati keshakosa Ligi,, UEFA hapat na Egypt haifik popote WC ss mbn kama sikuelew apo au hujui procedure za B d r???Liver wachukue kombe au wasichukue msimu huu huyu jamaa kaonyesha kiwango cha hali ya juu sana. Anastahil i Ballon d'or.