Huyu Salah anastahili Ballon d'or.

Liver wachukue kombe au wasichukue msimu huu huyu jamaa kaonyesha kiwango cha hali ya juu sana. Anastahil i Ballon d'or.
we jama unachekesha nn asa atachukuaje ballon d or kama hajaxhukua ubingwa wwte?? nimechek kwa saut sana mm salah namkubal sana kama mwafrika mwenzang ingawa ana ngoz nyeupe sio mbaya ki mfano anakujaje apa kati keshakosa Ligi,, UEFA hapat na Egypt haifik popote WC ss mbn kama sikuelew apo au hujui procedure za B d r???
 
Ukitajiwa mchezaji ambae alichukua bila kombe lolote utasemaje?
 
Sasa hivyo vyote vina uhusiano gani na balon d'or ya mwaka huu?
 
Unachosema ni sawa ndo mana uingereza wamempa. Sasa je jiulize Kwa msimu huu mchango wa Salah ni mkubwa kuliko wa Mesi. Mana Mesi hadi nw anaongoza kwa magoli na bado katwaa vikombe viwili
 
Haters wa Cr7 katika ubora wao. Roma wamewafanya vibaya sana mpaka akili zimewaruka.
 
Duh! Balon bila kombe mzee?
2010 Messi alibeba kombe gani??

Harry kane mwaka jana alibeba kombe gani au Salah mwaka huu kabeba kombe gani Van persie 2012 Alibeba kombe gani??
 
2010 Messi alibeba kombe gani??

Harry kane mwaka jana alibeba kombe gani au Salah mwaka huu kabeba kombe gani Van persie 2012 Alibeba kombe gani??
2009-2010 Mess alichukua La liga...

Kane, Van persie hawajawahi kuchukua balon d'or...
 
Liver wachukue kombe au wasichukue msimu huu huyu jamaa kaonyesha kiwango cha hali ya juu sana. Anastahil i Ballon d'or.
Kwangu mimi ninavyoona, Salah afanye juhudi aipe Liverpool UEFA Champions League, na baadaye aisaidi Misri ifike robo fainali au nusu ya Kombe la Dunia kwa hapo naona itapendeza zaidi japokuwa nakubali kaonesha juhudi sana msimu huu

Raja Casablanca
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…