Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Siyo huyu mjivuni na mropokaji anayetumia kodi zetu na matatizo ya wananchi kujitafutia Urais wa 2030.
Akiungwa mkono na wanaeSiyo huyu mjivuni na mropokaji anayetumia kodi zetu na matatizo ya wananchi kujitafutia Urais wa 2030.
2015 alilipa watu kuusaka urais kwa kuandika kwenye madaraja na mawe Mwigulu Rais 2015 safari hii anatumia kodi zetu kuusaka urais.Akiungwa mkono na wanae
Hana sifa za kisiasa za kumfanya ateuliwe kuwa PM.Ingekuwa tunaangalia maslahi ya kweli ya nchi, ingekuwa zinafanyika vetting kwa kuzingatia uzalendo na maono makubwa ya viongozi, huyu sasa ndio alitakiwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi yangu Tanganyika
Kabla sijamaliza paragraph nilijua tu hii picha itafataIngekuwa tunaangalia maslahi ya kweli ya nchi, ingekuwa zinafanyika vetting kwa kuzingatia uzalendo na maono makubwa ya viongozi, huyu sasa ndio alitakiwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi yangu Tanganyika
Hahah2015 alilipa watu kuusaka urais kwa kuandika kwenye madaraja na mawe Mwigulu Rais 2015 safari hii anatumia kodi zetu kuusaka urais.
Wewe tushakuzoea kazi yako kuu ni kusifia watawala kwa chochote wanachofanya, hata wakienda uani ww huwa unawasifia kwamba wanakunyaa vizuri na wala mavii yao hayanuki!!!.Waziri Mkuu wetu Mr Clean Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba anauwezo hata wa kuiongoza Marekani kama Mkuu wa Nchi na nchi ikapaa kiuchumi.
Tatizo ya CHADEMA mnawaza na Kuwa na akili kama Nyumbu
Huyu mwamba hata Urais unamfaa aiseeš«”Ingekuwa tunaangalia maslahi ya kweli ya nchi, ingekuwa zinafanyika vetting kwa kuzingatia uzalendo na maono makubwa ya viongozi, huyu sasa ndio alitakiwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi yangu Tanganyika
Jamaa ametulia sanaHuyu mwamba hata Urais unamfaa aiseeš«”
Waziri Mkuu wetu Mr Clean Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba anauwezo hata wa kuiongoza Marekani kama Mkuu wa Nchi na nchi ikapaa kiuchumi.
Tatizo ya CHADEMA mnawaza na Kuwa na akili kama Nyumbu
Maccm mnafikiri kwa kutumia njia za haja kubwa.Waziri Mkuu wetu Mr Clean Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba anauwezo hata wa kuiongoza Marekani kama Mkuu wa Nchi na nchi ikapaa kiuchumi.
Tatizo ya CHADEMA mnawaza na Kuwa na akili kama Nyumbu
Kwa akili hizi sikushangaa kuona umepiga picha umevaa mnyororo wa kufungia mbwa shingoni , naamini unawatambia hapo kijiji kwenu ni cheni kama ya 50 Cent.Waziri Mkuu wetu Mr Clean Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba anauwezo hata wa kuiongoza Marekani kama Mkuu wa Nchi na nchi ikapaa kiuchumi.
Tatizo ya CHADEMA mnawaza na Kuwa na akili kama Nyumbu
Wewe usoye na akili kama nyumbu twambie October 29 mliuwa wangapi haswa ..achana na wale wa tume ya kubumba ya chande.mliuwa.wangapi mkawazika wapi?Waziri Mkuu wetu Mr Clean Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba anauwezo hata wa kuiongoza Marekani kama Mkuu wa Nchi na nchi ikapaa kiuchumi.
Tatizo ya CHADEMA mnawaza na Kuwa na akili kama Nyumbu
Kabisa 100%Ingekuwa tunaangalia maslahi ya kweli ya nchi, ingekuwa zinafanyika vetting kwa kuzingatia uzalendo na maono makubwa ya viongozi, huyu sasa ndio alitakiwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi yangu Tanganyika
Allah atasikia kilio cha watanza kwa mapenzi yake in sha Allah atawaangamiza madhalim na kutufanya tuwe na furaha ya kweli.Ingekuwa tunaangalia maslahi ya kweli ya nchi, ingekuwa zinafanyika vetting kwa kuzingatia uzalendo na maono makubwa ya viongozi, huyu sasa ndio alitakiwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi yangu Tanganyika
Hata ungefanyeje kamwe huwezi kumchafua Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu Mr Clean Daktari Mwigulu Lameck Nchemba ambaye amebeba imani na Matumaini ya watanzania kwa Miaka ijayo kuongoza Taifa letu kama Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na UsalamaWewe usoye na akili kama nyumbu twambie October 29 mliuwa wangapi haswa ..achana na wale wa tume ya kubumba ya chande.mliuwa.wangapi mkawazika wapi?
Wewe usio na akili za nyumbu twambie raisi wa marekani anawezaje kujiandika jina lake kwenye mawe makubwa yooote nchi mzima (2015) Huyo bwanako mla rushwa mwigulu aliandika jina lake kwenye mawe makubwa yooote nchi nzima hii aliupata?
Mwigulu ni mtu wa hovyo,.mla rushwa aliyekubuhu