Huyu sasa ndiyo alitakiwa kuwa Waziri Mkuu

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Ingekuwa tunaangalia maslahi ya kweli ya nchi, ingekuwa zinafanyika vetting kwa kuzingatia uzalendo na maono makubwa ya viongozi, huyu sasa ndio alitakiwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi yangu Tanganyika

hechejohn_aedb20eba9674fe58b90f31c3d2ec431.jpg
 
“Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini , si vijana waoga ,akina ndiyo bwana mkubwa, vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga Vita mfumo wa jamii isiyo shabihiana na matakwa na matalajio ya jamii ya Kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mfumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa”.

Mwalimu JK Nyerere
 
Waziri Mkuu wetu Mr Clean Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba anauwezo hata wa kuiongoza Marekani kama Mkuu wa Nchi na nchi ikapaa kiuchumi.

Tatizo ya CHADEMA mnawaza na Kuwa na akili kama Nyumbu
Wewe tushakuzoea kazi yako kuu ni kusifia watawala kwa chochote wanachofanya, hata wakienda uani ww huwa unawasifia kwamba wanakunyaa vizuri na wala mavii yao hayanuki!!!.
 
Waziri Mkuu wetu Mr Clean Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba anauwezo hata wa kuiongoza Marekani kama Mkuu wa Nchi na nchi ikapaa kiuchumi.

Tatizo ya CHADEMA mnawaza na Kuwa na akili kama Nyumbu

Anajua hata kikristo cha kuongea na Trump au na nyau hadi atoke shothleni afike US? Zaidi ya Nairobi nchi gani ingine ashawahi kufika mzee wa mawe? nge?
 
Waziri Mkuu wetu Mr Clean Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba anauwezo hata wa kuiongoza Marekani kama Mkuu wa Nchi na nchi ikapaa kiuchumi.

Tatizo ya CHADEMA mnawaza na Kuwa na akili kama Nyumbu
Maccm mnafikiri kwa kutumia njia za haja kubwa.
 
Waziri Mkuu wetu Mr Clean Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba anauwezo hata wa kuiongoza Marekani kama Mkuu wa Nchi na nchi ikapaa kiuchumi.

Tatizo ya CHADEMA mnawaza na Kuwa na akili kama Nyumbu
Kwa akili hizi sikushangaa kuona umepiga picha umevaa mnyororo wa kufungia mbwa shingoni , naamini unawatambia hapo kijiji kwenu ni cheni kama ya 50 Cent.
 
Waziri Mkuu wetu Mr Clean Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba anauwezo hata wa kuiongoza Marekani kama Mkuu wa Nchi na nchi ikapaa kiuchumi.

Tatizo ya CHADEMA mnawaza na Kuwa na akili kama Nyumbu
Wewe usoye na akili kama nyumbu twambie October 29 mliuwa wangapi haswa ..achana na wale wa tume ya kubumba ya chande.mliuwa.wangapi mkawazika wapi?
Wewe usio na akili za nyumbu twambie raisi wa marekani anawezaje kujiandika jina lake kwenye mawe makubwa yooote nchi mzima (2015) Huyo bwanako mla rushwa mwigulu aliandika jina lake kwenye mawe makubwa yooote nchi nzima hii aliupata?
Mwigulu ni mtu wa hovyo,.mla rushwa aliyekubuhu
 
Ingekuwa tunaangalia maslahi ya kweli ya nchi, ingekuwa zinafanyika vetting kwa kuzingatia uzalendo na maono makubwa ya viongozi, huyu sasa ndio alitakiwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi yangu Tanganyika

Allah atasikia kilio cha watanza kwa mapenzi yake in sha Allah atawaangamiza madhalim na kutufanya tuwe na furaha ya kweli.
 
Wewe usoye na akili kama nyumbu twambie October 29 mliuwa wangapi haswa ..achana na wale wa tume ya kubumba ya chande.mliuwa.wangapi mkawazika wapi?
Wewe usio na akili za nyumbu twambie raisi wa marekani anawezaje kujiandika jina lake kwenye mawe makubwa yooote nchi mzima (2015) Huyo bwanako mla rushwa mwigulu aliandika jina lake kwenye mawe makubwa yooote nchi nzima hii aliupata?
Mwigulu ni mtu wa hovyo,.mla rushwa aliyekubuhu
Hata ungefanyeje kamwe huwezi kumchafua Mheshimiwa Waziri Mkuu Wetu Mr Clean Daktari Mwigulu Lameck Nchemba ambaye amebeba imani na Matumaini ya watanzania kwa Miaka ijayo kuongoza Taifa letu kama Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama
 
Back
Top Bottom