The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,582 Reaction score 123,152 Jun 9, 2026 #81 soldier MAN said: Hivi karibuni namuoa seran,tutafunga ndoa mwishoni mwa mwaka huu napenda kuwaarika wana jf wote.hv karibun seran atatangaza tarehe ya ndoa yetu. Click to expand... Hongereni sana mkuu, Naomba kwenye harusi yako niwe msimamizi upande wa vinywaji nikisaidiana na min -me
soldier MAN said: Hivi karibuni namuoa seran,tutafunga ndoa mwishoni mwa mwaka huu napenda kuwaarika wana jf wote.hv karibun seran atatangaza tarehe ya ndoa yetu. Click to expand... Hongereni sana mkuu, Naomba kwenye harusi yako niwe msimamizi upande wa vinywaji nikisaidiana na min -me
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,846 Reaction score 16,713 Jun 9, 2026 #82 Kwani wewe inakuumiza nini?
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,672 Reaction score 178,673 Jun 9, 2026 #83 The Icebreaker said: Hongereni sana mkuu, Naomba kwenye harusi yako niwe msimamizi upande wa vinywaji nikisaidiana na min -me Click to expand... Naunga mkono hoja
The Icebreaker said: Hongereni sana mkuu, Naomba kwenye harusi yako niwe msimamizi upande wa vinywaji nikisaidiana na min -me Click to expand... Naunga mkono hoja
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,480 Reaction score 38,367 Jun 9, 2026 #84 Utoto raha sana, tuliopo humu zaidi ya miaka 15 ni kawaida sana, hizo trend huwa zinakuja na kuondoka!
Utoto raha sana, tuliopo humu zaidi ya miaka 15 ni kawaida sana, hizo trend huwa zinakuja na kuondoka!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jun 9, 2026 #85 Ngoja aje... Cc: Mahondaw