Huyu shangazi amenichanganya akili, inabidi nizae naye

Akili ikikukaa sawa itakuaje?

Endelea kuchanganyikiwa tu
 
Hii ni laana kwako maana umri hamuendani kabisa, achana naye mara moja na unipe mimi hizo contacts zake, Mungu atakubariki tu na kusamehe dhambi zako.
 
Ni aina ya wazee tuliobarikiwa katika kizazi cha watoto wa Dar es salaam , sasa utoke ulikotoka udhani mimi nitakuwa na adabu na heshima ikiwa wazee walionikuza ndiyo kama huyu mzee Pimbi[emoji848]
 
Mwanamke wa kuzaa nae na mwanamke wa kusex nae, Hawa Ni wanawake wawili tofaut kabisa

Majuto baada ya kuzaa na mwanamke asiye sahii, utasahau utamu wote alokupa kitandani.
Kwa utamu alionao, najua nikizaa naye itakuwa nikugusa tu; kama sijaweka alama yoyote, nikimuhitaji huko mbeleni anaweza kunizingua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…