DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Kuzaa Ni Zaid ya kuweka alama,Kwa utamu alionao, najua nikizaa naye itakuwa nikugusa tu; kama sijaweka alama yoyote, nikimuhitaji huko mbeleni anaweza kunizingua.
Kumbuka Kuna kuyabeba majukumu ya malezi na matunzo ya Mtoto.
Kama uchumi wako mdg
mwanamke hajishughulishi na pasua kichwa, utazijutia Sana shahawa zako.