Kuzaa Ni Zaid ya kuweka alama,Kwa utamu alionao, najua nikizaa naye itakuwa nikugusa tu; kama sijaweka alama yoyote, nikimuhitaji huko mbeleni anaweza kunizingua.
π π π hiyo laana haipo mkuu, acha nifurahie mema ya dunia, siku mbili tatu hizi makunyanzi yote yameisha, nimekuwa kama kijana wa miaka 20.Hii ni laana kwako maana umri hamuendani kabisa, achana naye mara moja na unipe mimi hizo contacts zake, Mungu atakubariki tu na kusamehe dhambi zako.
Sijaongelea utundu mkuu,Inawezekana wakapunguza utundu; sasa nifanyeje angalau niwe naye kwenye mkataba wa miaka 5 awe ananizawadia utamu tu?
Sasa mjukuu wangu, sisi ni wazee wakidigitali achana na wale wazee wazamani ambao walikuwa wakitumia ulimbo na ulindi katika kupata moto.Ni aina ya wazee tuliobarikiwa katika kizazi cha watoto wa Dar es salaam , sasa utoke ulikotoka udhani mimi nitakuwa na adabu na heshima ikiwa wazee walionikuza ndiyo kama huyu mzee Pimbi[emoji848]
Mkuu vipi, mbona nukta tena; umekuwa kipofu π
Sioni cha kushauri naona it's nonsense tu hapoLeta ushauri
Kutokana na muonekano wake, nitakuwa nimeweka mbegu sehemu sahihi; ata mtoto atakayetoka atakuja kunisifu kwa kumchagulia mama mzuri.Sijaongelea utundu mkuu,
Unapoongelea changamoto za kuzaa na mtu, habari za utundu kitandani hauna nafas. Kuna wanawake Ni vichomi mno.
Haya tujadili pointi; lini sasa tutajenga kinu cha 'nuclear' ?Sioni cha kushauri naona it's nonsense tu hapo
Ilikuwa ni makadirio ya chini, ilikuwa inakaribia lisaaUnaposema baada ya dk 30 ni kwamba uliweka stop watch?
Aisee kumbe kweli unakula raha mwenzetu. Je, huyo mdada hana tabia ya kukuomba hela kila kukicha?π π π hiyo laana haipo mkuu, acha nifurahie mema ya dunia, siku mbili tatu hizi makunyanzi yote yameisha, nimekuwa kama kijana wa miaka 20.
πππMiaka 70 gani jamas bado falla kiasi hiki?
Ukiwa bahili sana, na vitu vizuri vizuri utavikosa; ndio maana ibada unogeshwa na sadaka, bila kutoa sadaka hiyo sio ibada.Aisee kumbe kweli unakula raha mwenzetu. Je, huyo mdada hana tabia ya kukuomba hela kila kukicha?
Kwako studioUkiwa bahili sana, na vitu vizuri vizuri utavikosa; ndio maana ibada unogeshwa na sadaka, bila kutoa sadaka hiyo sio ibada.
Ndio wazee wanaotikisa dunia kwa kufanya maamuzi ya vita; kule Urusi huku IsraeliDah huu mwandiko wa Mzee wa miaka sabini.bas Dunia imeisha
Bila kutoa hela, utaambiwa benchi likiisha hela itapatikana wapi ya kununua benchi lingine n.kKwako studio