Huyu shangazi amenichanganya akili, inabidi nizae naye

Nikiona kwenye gazeti kwenye wiki hizi kuna mtu katangulia mbele za haki kwenye nyumba za wageni..nitajua ni wewe...kila kheri mkuu
 
Waswahili wanasema, ukimnenea mtu mazuri na kwako mambo mazuri yatakuja, na ukimnenea mabaya na kwako inakuwa hivyo hivyo; Je, huu usemi ulishawahi kuusikia wapi?
 
Mstaafu mwenzangu umezingua sana.
Yaani kwa umri wako bado unababaika na papuchi na kuja kufungua uzi JF?
Binafsi kwa uzoefu wangu wa kudinya siwezi labda aje anayejamba gold.
 
Inawezekana, labda hujakutana bado na walimbwende wanaojua kula hela za wastaafu? Ukiona mzee anamilikisha mali kwa mchepuko, sio kwamba hana akili bali kuna mazingira yalimfanya afanye hayo maamuzi.
 
Kwangu mm haiwezekani.Nakataa uzoba.
Nina uzoefu wa kudinya kwa zaidi ya miaka 50,nimedinya ndani na nje ya nchi.
Sasa leo kipi kiwe kigeni kwangu?
 
Kuna mifano hai mingi, wazee wametangulia familia ikaachiwa migogoro
 
Waswahili wanasema, ukimnenea mtu mazuri na kwako mambo mazuri yatakuja, na ukimnenea mabaya na kwako inakuwa hivyo hivyo; Je, huu usemi ulishawahi kuusikia wapi?
Nilisikia moja tu. Atakayekubariki atakubariki na atakayekulaani atalaaniwa. It was Israel concerned. Hizo zingine porojo
 
Mbona lengo la story yako siliewi zaidi "yakutupandisha midadi kutupandisha lawama "
 
Mlipima tuanzie hapo kabla ya ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…