Huyu Sheikh haogopi? Anaitwa Sheikh nani?

Awe makini maaana siku hizi haijulikani vizuri nani anateka serikali au chadema ....... serikali wanaweza kukuteka kukuzima usihongeee ......chadema wanaweza kukuteka ili wachonganishe serikali na wananchi na wapate huruma ....so katika kipindi hiki watu wawe makini sana.....maaana hao nilio wataja wote wanafanya haya mambo
 
Hivi kweli ulipokuwa unaandika maneno haya kichwa na kiwiliwili vilikuwa connected?

Maana pumba ulizotema hapa hata nguruwe pori hazisogelei.
 
Back
Top Bottom