Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Huyu shekhe anayejiita mwaipopo anafanya waislamu wote tuonekana hatuna akili sasa yule padri wa katoliki anaongea vitu vya ukweli na sahihi halafu yeye anakuja front na kuja kutuambia takataka zake as if kama na sie waislamu wenye akili tuna akili za kijinga hivi huyu jamaa anaingia kwa gia za udini wake.
Waislamu tuache kulalamika elimu ni nuru tusome elimu ya dini na elimu ya duniani kwasababu mwenyezimungu ametuhimiza tusome na kitu cha mwanzo ambacho mtume Muhammad(S.A.W) alichoambiwa ni iqra kwa maana soma na kiukweli hamna muislamu ambae amesoma elimu ya dini na Akhera akawa mjinga mjinga.