Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Unafikiri uislam unaweza kujiita sheikh tu? Huyo hana elimu ya aina yoyote!Shida ya uislam hata mimi naweza amka kesho nikajiita sheikh,
Nadhan walutheri, anglican and roman wako fit kwenye hili. Ukizingua unapigwa pin safi.
Huyo ni muhuni kama wahuni wengine! Kwenye dini napo kuna wahuni.