Kuusema vibaya ukristo hakutomuacha salama, hiyo ni dhambi mbaya sana ya kufuru. Hao hao anaowatumikia watamuona ni kinyau na kuanza kumsulubu, watamkataa na kumuona ni sheikh feki. Muda bado upo ni bora atubu aombe toba kabla ya ghadhabu ya kukufuru haijamshukia. Adhabu zingine huanza hapahapa duniani kabla ya kwenda kuzimu