Huyu Shilole Kiuno kwanini wamemwachia huru?

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Baada ya kusikia kijana kapewa dhamana nikadhani itakuw vyema dogo atakuwa amekuw sasa kutokan na balaa lililomkuta na post zake insta sasa leo nafungua insta nakuta ni kama ameweuka sasa matusi anayotoa huy dogo sio ya kuvumiliwa sijui kama ni mtu mwingine mana yule kijana aliyekamatw sura yake haiendani na haya matusi
 
Anazidi kumkandamiza mwenzake ambaye bado ana kesi Mahakamani,maana itabidi akatolee maelezo ni kwa vipi Acc yako bado inatumika .......??
 
Hakuna mtu aliyekamatwa akapelekwa kituoni wale akina Lemutuz walitafuta story tu ndio maana hata Kaganda alisema hakuna mtu kama uyo ..
 
We jamaa,kwanini haupendi maendeleo ya vijana wa wcb kila siku we nimajungu vijana wa alikiba hamueleweki


Mkuu huyo sio kijana ni babu wa miaka 60 sema akili zimeganda kwenye teenage ndio maana kutwa hapitwi na story za kwenye Facebook.
 
Kwani tu huyo shiloleofficial peke yake ndo anatukanaga watu nchi hii...mbona wengine wanatukana watu hujawafungulia thread or jamaa amewashika pabaya mnaanza kuweweseka...skia fanyeni mziki acheni kuhangaika na watukanaji wa mitandaoni...msanii gani mkubwa hapa duniani or Tanzania ushawahi sikia management yake inahangaika na mtukanaji wa mitandaoni
 
Mkuu huyo sio kijana ni babu wa miaka 60 sema akili zimeganda kwenye teenage ndio maana kutwa hapitwi na story za kwenye Facebook.
Punguza mapovu,
Mahaba yenu kwa mond ni kama mahaba ya wafuasi wa kibwetere.
Hivi ni sawa management kuzunguka dar nzima kumtafuta mjinga anayemtukana msanii kwenye mitandao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…