Huyu Shilole Kiuno kwanini wamemwachia huru?

Aliyemkamata ni shilole wakishirikiana na wastara sema baada ya kukamatwa ndo na kina tale na sallam wakaitwa
Yani meneja na kitambi chako unaitwa kukimbizana na mjinga aliyemtukana msanii wako kwenye mitandao?
 
Yani meneja na kitambi chako unaitwa kukimbizana na mjinga aliyemtukana msanii wako kwenye mitandao?
Kwanza ww unachotetea ni nini haswa....tuseme unapendezwa na ayo matusi ya kwny mitqndao watu wanatukqniwa adi wazaz ww unafurahia tu na kutumia majina ya watu vibaya
 
Kwanza ww unachotetea ni nini haswa....tuseme unapendezwa na ayo matusi ya kwny mitqndao watu wanatukqniwa adi wazaz ww unafurahia tu na kutumia majina ya watu vibaya
Sipendezwi na matusi ila nashangazwa na immaturity ya hao mameneja wanaoteswa na matusi ya haters wanayotukana mitandaoni.
Au huyo Dogo kamtukana Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…