Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Yani meneja na kitambi chako unaitwa kukimbizana na mjinga aliyemtukana msanii wako kwenye mitandao?Aliyemkamata ni shilole wakishirikiana na wastara sema baada ya kukamatwa ndo na kina tale na sallam wakaitwa